Wanafunzi wa Vyuo vikuu Arusha walivyo ungana kufanya Usafi wa Mazingira
Bofya Play
Jumuiya ya wanafunzi wa Vyuo vikuu na vya kati Tanzania (TAHLISO) Arusha walivyo ungana na Green Awareness Club kufanya zoezi la Usafi na uhamasishaji jamii kutunza Mazingira katika soko la Kilombero pamoja na stendi, huku Mgeni Rasmi akiwa Stahiki Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Maximilian iranqhe akiongozana na Madiwa 15wa Arusha (28.01.2023).