Arusha Usafi Project (TAHLISO)
Umoja wa Serikali za wanafunzi Vyuoni Tanzania (TAHLISO) Mkoa wa Arusha wakishirikiana na Klabu ya Mazingira @greenawareness.club wameandaa zoezi la Usafi na uhamasishaji Jamii kutunza Mazingira.
Mgeni Rasmi anatarakiwa kuwa Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Maximilian iranqhe
Zoezi hilo kitafanyika Soko la Kilombero Jijini Arusha, kuanzia Saa 12:00 Asubuh .
Karibu Sana tuungane.