Gifts: Merry Christmas and Happy new year 2023

 

Uongozi mzima wa Green Awareness Club Tanzania (Klabu inayojihusisha na Uelimishaji jamii juu ya utunzaji wa Mazingira) tunakutakia heri ya Sikukuu ya Christmas wewe pamoja na familia yako. 
Merry Christmas!...


Usisahau kutembelea:

Kurasa zetu za mitandao ya kijamii kote Kwa jina Moja tu. | @greenawareness.club


-Mwenyekiti.