Heri ya Christmas na Mwaka mpya 2023


 Uongozi mzima wa Green Awareness Club, unapenda kukutakia heri ya Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2023. Ukawe mwaka wa Mafanikio huku tukiendelea kutunza Mazingira yetu na kupanda Miti ili kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Duniani.