Mamia wajitokeze Arusha Usafi Day, Siku ya usafi Duniani

 

Katika kuadhimisha siku ya usafi Duniani, Green Awareness Club tuliandaa #arushausafiday ambapo tulikutana eneo la Soko kuu (meeting point) na kufanya usafi maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha tukishirikiana na Mkuu wa Wilaya Arusha (Said Mtandao) na Meya wa Jiji Arusha (Maximilian Iranqhe).

World clean up day