Clouds TV Interview: Meneja programu aelezea mipango mikakati ya Klabu
CLOUDS TV interview | 16.09.2022
Katika kuelekea siku ya usafi Duniani #worldcleanday Meneja programs wa Klabu ya GREEN AWARENESS CLUB Bi. Fransisca Michael akielezea ajenda za Klabu na mipango mbalimbali katika kupunguza uharibifu na uchaguzi wa Mazingira.
Cc. (Alasiri), Sophia Kessy | Mtangazaji