Green Awareness Club Tunaenda kuelimisha Utunzaji Mazingira Arusha Shule ya Msingi

Watoto wakijua umuhimu wa kupanda Miti, kesho yetu Itakuwa salama!... Tukutane Shule ya Msingi Olmotonyi, Arusha. Ijumaa Hii (15.07.2022)

Klabu yetu Siku ya Ijumaa Hii (15.07.2022) tutakuwa Shule ya Msingi Olmotonyi, Arusha Tanzania.



Tukielimisha wanafunzi kwa nadhalia na vitendo juu ya Upandaji Miti kama njia ya kutunza Mazingira.


Karibu tuungane.


- Ibrahim Sinsakala

Mwenyekiti| Green Awareness Club

+255 689217500 | WhatsApp


(Vyeti vitatolewa).🌱🌍💪