GREEN AWARENESS CLUB.🌱| Karibu

ni club mpya inayolenga kuwapa uwezo wanafunzi, ili kui elimisha jamii juu ya utunzaji wa mazingira (Extension service),

pia mwisho wa semister tutatoa vyeti ambavyo vitawasaidia wanafunzi kwenye application za ajira. (Asilimia za *Ajira portal*, itakayo kupa nafasi ya kuchaguliwa kwenye interview na Ajira).

http://www.greenawareness.club

Tu fuate kwenye kurasa zetu za Facebook, Instagram na TikTok | kwa jina Moja tu.

@greenawareness.club


Kujiunga na Klabu yetu 

JAZA FOMU 👉 HAPA



Download Fomu 

Click 👉 HAPA

Join Out WhatsApp Group

Click 👉 HERE