Vijana wa Samia waungana na Green Awareness Club kuandaa Kampeni kubwa ya Mazingira Arusha

Green Awareness Club

Leo tumeungana na Kikundi Cha Vijana wa Samia , kwenye kampeni ya uhamasishaji Jamii kutunza Mazingira, ambapo Jumamosi Hii (25.02.2023) tutakuwa na event ya usafi maeneo ya Stendi kuu ya mabasi Arusha Mjini.


Matukio mbalimbali ya tukio ya Uhamasishaji jamii kufanya usafi ili kutunza Mazingira Jijini Arusha (25.02.2023), shughuli ambayo ili andaliwa Kwa ushirikiano na

@vijana_samia 

@younglife_tanzania 

@greenawareness.club


Ambapo Mgeni Rasmi Alikuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa @maxmillianiranqhe ambaye amekuwa mstari wa mbele Kuhamasisha wananchi kuwa na tabia ya kutunza Mazingira yanayo wazunguka Kwa kufanya usafi na kupanda Miti.

#clean #cleanup #cleanupday #cleanupchallenge #cleanupcrew #enviromentalist #enviromentallyfriendly #safeenvironment