Green Awareness Club leo 28.01.2023 waungana na Umoja wa Vyuo vikuu vya Tanzania TAHLISO Mkoa wa Arusha kufanya zoezi la Usafi kwenye Soko la Kilombero pamoja na stendi huku Mgeni Rasmi wa zoezi hilo akiwa Mstahiki Meya wa Jiji Arusha Mhe. Maximilian iranqhe. (Aliyeshika kipokea sauti | Pichani)
.