Green Awareness Club ya ungana na Meya kugawa Vifaa vya usafi Kaloleni Arusha
Leo Green Awareness Club tumeshirikiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha pamoja na wadau wake mbalimbali kugawa vihifadhia uchafu (Dustbin) kwa wananchi wa kata ya Kaloleni, Arusha Tanzania.
Ikiwa ni hatua katika kupunguza uchafuzi wa Mazingira katika Jiji la Arusha hususani taka zitokanazo na plastics, zoezi ambalo limeambatana na Upandaji Miti.
Pia lilifuatiwa na zoezi la Upandaji Miti katika kuhamasisha jamii kuendelea kutunza Mazingira.
![]() |
| Mkurugenzi fedha | Azania Bank Bi. Jacklin |
![]() |
| Mstahiki Meya Jiji la Arusha MHE. Maximilian Iranqhe |
#plasticfree #plasticpollution #climateaction #unga #notoplastic




