Green Outreach: Tulipo tembelea Shule ya Msingi Arusha kutoa elimu Mazingira (Video)

Green Outreach: Tarehe 15.07.2022 (Ijumaa) 

Klabu ya Mazingira Tanzania GREEN AWARENESS CLUB Tulipo tembelea Shule ya Msingi Olmotonyi, Arusha kuelimisha wanafunzi kuhusu utunzaji wa Mazingira (Video)👇